Akizungumzia maisha ya bibi huyo kuishi miaka mingi, mtoto wa marehemu, Michael Assenga amesema mama yake alikuwa anapenda ...
Wakulima wa mwani kisiwani Unguja wameeleza ukosefu wa mbegu bora za uzalishaji zao hilo hivyo kurudisha nyuma jitihada zao.
Kama kuna jambo la thamani unaweza kufanya leo, basi ni kumchagua Mungu kuwa wa kwanza kwenye maisha yako na kama utajisifu ...
Nyota wa Manchester City, Omar Marmoush jana lionyesha kwanini alisajiliwa klabuni hapo ikiwa ni baada ya kuisaidia timu yake ...
Kati ya waliouawa na mamba hao, miili ya watu watano pekee ndiyo iliyopatikana na kuzikwa, huku 18 wakitoweka na watano wakinusurika lakini wakiwa na ulemavu wa kudumu.
Wakati zikibaki siku nne kabla ya mechi ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (Wafcon) 2026 dhidi ya ...
Mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Christian Bella, leo Februari 16,2025, amesema viongozi wa Afrika wanatakiwa kushikamana ...
Nyota mpya wa Azam FC, Zidane Sereri amefungua ukurasa wa mabao ndani ya kikosi hicho baada ya kutupia bao moja katika ushindi wa 2-0, dhidi ya maafande wa Mashujaa, huku kukitokea maajabu ...
Sisi tunaliona hili kama ni tatizo ambalo linatakiwa kutatuliwa mapema, kwani likiota mizizi linaweza kuleta madhara makubwa ...
Nyakati za mvua kubwa mbali ya mafuriko kwa baadhi ya maeneo, pia hutolewa tahadhari ya kuibuka magonjwa ya milipuko ukiwemo ...
Kwetu sisi, uwepo wa shule ambazo wanafunzi wanasoma chini ya miti nchini, ni suala linalohitaji kuangaliwa kwa undani na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results