Katika juhudi za kubadilisha taswira ya utalii wa Tanzania, Kampuni ya Maendeleo Hospitality Ventures (MHV) inayosimamiwa na ...
Wanaobaki njiapanda, ni makada ambao kwa namna moja au nyingine wana nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025 kusaka ...
Oktoba 22, 2023, Serikali iliingia makubaliano na DP World kupitia mikataba mitatu iliyosainiwa kwa lengo la kuongeza ufanisi ...
Amesema katika taarifa hiyo imesema wakati kazi hizo zitakapofanyika baadhi ya maeneo ya Zanzibar na Mikoa ya Dar es Salaam ...
Pwani. Baada ya kusambaa kwa kipande cha video kinachoonyesha hali mbaya ya Msikiti wa Milo, mkoani Pwani, Rais Samia Suluhu ...
Hata hivyo, wamepingana kuhusiana na utaratibu wa kutangaza matokeo kama kanuni za uchaguzi huo za Mwaka 2024 zinavyoelekeza.
Wakati Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ikitangaza hali ya mvua na vipindi vya jua katika mkoa wa Kilimanjaro wananachi ...
Kwa mujibu wa Mchome vigogo waliopatikana katika utaratibu huo ni pamoja na Katibu Mkuu, John Mnyika, Aman Golugwa (naibu ...
Geita. Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili washtakiwa wanne wanaodaiwa kumuua Joyce Ludeheka kwa kumkata na kitu chenye ncha kali kisha kukata sehemu yake ya siri na kuikausha, ...
Majaliwa amesema wakuu hao wana jukumu la kusimamia maeneo yao kuhakikisha kampeni hiyo inaondoa changamoto za migogoro ...
Pia, wapo wengine wameanzisha mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), wakizitumika kama sehemu za mikakati ya kuwafikia wajumbe huku lengo likiwa ni kuutaka ubunge au udiwani.