Baada ya kuhamasisha wanajeshi kuzunguka Ukanda wa Gaza, ulioharibiwa na miezi 15 ya vita, siku ya Jumatatu, jeshi la Israeli limetangaza siku ya Jumanne kutuma vikosi vingine katika maeneo haya ...
Vita kati ya pande hizo mbili, vilivyozuka mwezi Aprili 2023, vimesababisha moja ya majanga makubwa zaidi ya kibinadamu duniani, huku zaidi ya watu milioni 12 wakikosa makazi na nusu ya watu ...
Ikiwa vita vitarejelewa, Hamas inaweza kuwa inajiuliza kuna faida gani ya kuachilia mateka waliobaki. Kwa jamaa na marafiki wa mateka, mkwamo huu wa sasa, na kuingilia kwa Trump, ni sababu ya ...
Katika kipindi cha wiki chache tu, idadi kubwa ya watu wameuawa na vita vilevile vimechangia vita vya maneno kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na jirani yake, Rwanda. Basi, jinsi gani ...
na khofu ya vita vya kibiashara inaendelea kuwa kubwa, kuna matumaini kwamba anaweza asiwe mwepesi mbele ya Rais Vladimir Putin wa Urusi. Chini kwa chini, wanadiplomasia wa Ulaya wanaonekana ...
Kura za maoni zaonyesha asilimia 50 ya raia wa Ukraine wanaunga mkono suluhu ya mapatano juu ya vita
Nusu ya walioshiriki utafiti uliofanywa nchini Ukraine wanaunga mkono wazo la kumaliza vita na Urusi hata kama inamaanisha kufikia mapatano. Chombo cha habari cha Ukraine cha Ukrainska Pravda jana ...
Amesema, “Ni muhimu kuwa usitishaji huu wa vita uondoe vikwazo vyote vya kiusalama na kisiasa ili kupeleka msaada kote Gaza.” Katibu mkuu huyo ameyaita makubaliano hayo “hatua muhimu ya ...
Nawapongeza wote waliohusika katika kufikia makubaliano ya leo na kuongezwa kwa muda wa kusitisha vita Lebanon. Ninawaombea majeruhi wapone haraka na wote waliokuwa wamehamishwa kaskazini na ...
Miaka yote 32 ambayo Mobutu aliiongoza Zaire (DRC), alikuwa vitani na Watutsi hao. Kisha, Watutsi hao walishirikiana na Laurent Kabila kumwondoa Mobutu wakati wa Vita ya Kwanza ya Congo, maarufu kama ...
Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo ...
RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu Bara itaanza kesho kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja viwili, mchezo wa mapema saa 10:00 jioni utapigwa CCM Kirumba mjini Mwanza kati ya Pamba Jiji dhidi ya matajiri wa ...
“Raise your ya ya ya.” Pretty self-explanatory, right? Well, maybe not. If that phrase confuses you, but you've heard your kids belt it out, they're probably familiar with a mega-viral TikTok ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results