Baada ya kuhamasisha wanajeshi kuzunguka Ukanda wa Gaza, ulioharibiwa na miezi 15 ya vita, siku ya Jumatatu, jeshi la Israeli limetangaza siku ya Jumanne kutuma vikosi vingine katika maeneo haya ...
Vita kati ya pande hizo mbili, vilivyozuka mwezi Aprili 2023, vimesababisha moja ya majanga makubwa zaidi ya kibinadamu duniani, huku zaidi ya watu milioni 12 wakikosa makazi na nusu ya watu ...
Ikiwa vita vitarejelewa, Hamas inaweza kuwa inajiuliza kuna faida gani ya kuachilia mateka waliobaki. Kwa jamaa na marafiki wa mateka, mkwamo huu wa sasa, na kuingilia kwa Trump, ni sababu ya ...
Katika kipindi cha wiki chache tu, idadi kubwa ya watu wameuawa na vita vilevile vimechangia vita vya maneno kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na jirani yake, Rwanda. Basi, jinsi gani ...
Miaka yote 32 ambayo Mobutu aliiongoza Zaire (DRC), alikuwa vitani na Watutsi hao. Kisha, Watutsi hao walishirikiana na Laurent Kabila kumwondoa Mobutu wakati wa Vita ya Kwanza ya Congo, maarufu kama ...
Na kweli huwa napenda kuendesha gari langu nikizunguka hapa nchini. Tuna nchi nzuri. Inapendeza. Zaidi ya kila kitu imebarikiwa amani. Hatuna vita. Hatuna njaa. Hatuombei vita na wala hatuombei njaa.
Ikumbukwe timu zote hizo tayari zimefuzu kwa hatua ya robo fainali na leo wapo kwenye vita ya kusaka nafasi ya kwanza. CS Costantine wenyewe wana pointi 12 na kuongoza kundi huku Simba wakishika ...
USIKU wa deni haukawii, wawakilishi wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa, Simba na Yanga zitashuka katika viwanja viwili tofauti ugenini leo ili kucheza mechi zitakazoamua hatima ya ...
akitumia sayansi na teknolojia kukagua sampuli za udongo katika ardhi ya Kiukreni ya kilimo iliyoathiriwa na mabaki ya vita na silaha zilizolipuka, sehemu kuu ya kazi yake hatarishi.
Ushirikiano na WFP ni mfano dhahiri wa dhamira yetu katika vita dhidi ya utapiamlo, kuhakikisha upatikanaji wa msaada muhimu wa lishe kwa wale wanaohitaji zaidi. Mpango huu pia unaonyesha mkakati ...
Stop the War opposes the British establishment’s disastrous addiction to war. #CeasefireNow in Gaza & Ukraine. Stop Arming Israel.