Kesi ya Jamil Mukulu, kiongozi wa kihistoria wa ADF, inatarajiwa kuanza tena Novemba 17, miaka kumi baada ya kukamatwa kwake nchini Tanzania mwaka wa 2015 na kupelekwa nchini Uganda. Kiongozi huyo wa ...
Luc Henkinbrant, afisa wa zamani wa haki za binadamu aliyeanzisha uchunguzi wa ripoti Mapping, iliyochapishwa mwaka wa 2010, amekuja kuelezea yaliyomo katika hati hii ya Umoja wa Mataifa. Hati hiyo ...
Mahakama ya Rufaa ya Marekani imeidhinisha kufutwa kwa kesi ambayo Donald Trump aliwasilisha dhidi ya Kituo cha Televisheni cha CNN kwa kuieleza madai yake kwamba uchaguzi wa urais wa 2020 uliibiwa ...
Mudavadi alibainisha kuwa inakadiriwa kwamba mitandao ya usajili ingali inaendelea na kazi hiyo nchini Kenya na Urusi. Na Asha Juma Chanzo cha picha, RAJAT GUPTA/EPA/Shutterstock Siku tatu baada ya ...
Milio ya risasi ilisikika katika mji mkuu huku Embaló na mpinzani wake Fernando Dias wakidai ameshindi. Asha Juma & Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Reuters Tanzania yawamefuta mashtaka dhidi ya watu ...