Kofia pana pia ni bora. Epuka kuvaa mavazi ya sufu ambayo hunasa poleni kwa urahisi. Unaporejea nyumbani, ondoa poleni kwenye mavazi yako kwa kutumia brashi mlangoni. Usisahau kusukutua mdomo ...
Katika hotuba kuhusu ukosoaji aliopokea kwa mavazi ya kijeshi ambayo amekuwa amevaa tangu kuanza kwa mzozo wakati wa ziara yake ya hivi majuzi huko Washington, rais wa Ukraine hata ameomba radhi ...
Wafuasi hao walianza kuwasili katika Ukumbi wa kimataifa wa KICC wakiwa wamevalia mavazi ya vyama vyao, wakiimba nyimbo za kuwasifia viongozi wao. Soma piaRais Ruto na kiongozi wa upinzani Odinga ...
Wakati Trump anampokea Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, alionekana akiyaangalia mavazi ya kiongozi huyo kuanzia juu hadi chini, huku akinong'ona maneno yanayoweza kutafsiriwa kama sifa kwa ...
CDC inashauri kudhibiti uwepo wa panya katika sehemu za makazi, kazini ili kupunguza maambukizi ya virusi hivyo. Kadhalika, inashauriwa pia kuvaa mavazi ya kujikinga wakati wa kusafisha kinyesi ...
viwanda na wabunifu au wazalishaji ili kufanikisha maendeleo katika sekta ya nguo na mavazi. Waziri Mkenda ametoa maagizo hayo leo Machi 15 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza katika kongamano la ...
UNHCR na washirika wake wanatoa usafiri, msaada wa kisheria, na msaada wa kukarabati nyumba zilizoharibiwa, pamoja na magodoro, blanketi, na mavazi ya majira ya baridi kwa ajili ya miezi migumu ijayo.
Kim ambaye ni mwanzilisha wa chapa ya mavazi ya Skims alisema pete hiyo ipo hadi leo maana hakwenda nayo Paris, Ufaransa mwaka 2016 ambapo alipoteza vito vyake vingi katika tukio la wizi. "Nakumbuka ...
Pigo zao zilikuwa hivi. Ukianza kwa wenye shughuli wenyewe wameutendea haki usiku wao, ambao ulikuwa wa kipekee kwa kubadilisha nguo mara mbili huku awamu ya kwanza wakivaa mavazi yenye rangi nyeupe ...
Pia, waliboresha vituo vya kufulia ili kuhakikisha usafi na uondoshaji salama wa uchafu kutoka kwenye mavazi ya kujikinga na vifaa vya afya. Akizungumzia mchango wa shirika hilo, Tommaso Santo amesema ...
Mwenyekiti wa Kijiji cha Foo, Trael Mboya, amesema kuwa alipofika eneo la tukio alikuta wanawake hao wakiwa wamewekwa chini na walikuwa tayari wamepewa mavazi ya kufunika miili yao kwa kuwa walikuwa ...
5. Chagua viatu, mavazi sahihi kwa ukimbiaji Vaa mavazi na raba za kukimbilia ambavyo ni rafiki wa mazoezi ya kukimbia ili kuepuka majeraha ya visigino na mavazi ya kubana yanaweza kuwa kikwazo ...