Vazi la nje la wakati wa Yesu lilikuwa la umbo la mstatili, kama kanga. Mamlaka na hadhi ya mtu ni vitu ambavyo vilidhihirishwa kupitia ubora, ukubwa na rangi ya mavazi hayo ya nje. Rangi ya ...